TEAM TZ


Usiku wa kuamkia leo, ilifanyika pati ya BBM kwa mara ya kwanza nchini Tanzania na kuandika historia nyingine kwa vijana wa G5 Click kuhamasiha vijana kwenye matumizi ya mitandao ya kijamii, kama ilivyokuwa kwenye FaceBook miaka kadhaa iliyopita. BBM ni kifupi cha BlackBerry Messaging, ukiwa ni mtandao mpya wa kijamii unaotumiwa na watumiaji wa simu za Blackberry pekee. Mpango mzima ulikuwa pale Mbalamwezi Beach ambako wasanii na vijana  kibao waliibuka kama inavyoonekana pichani. Juu ni CEO wa G5 Click, Mutsapha Seleman (kulia) na Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni hiyo, Ombeni (kushoto) wakiwa na marafiki zao wakati wa pati hiyo. Kampuni ya G5 ndio waandaaji wa pati hiyo. 

...Kwaito time!


DJ mahiri kutoka Pr024 akifanya vitu vyake

...Ping Me!


...mwimbaji hodari nchini, Linah, akimchezesha shabiki wake.

Mwimbaji wa wimbo 'Ongea na Mshua' Izo Business, nae alikuwepo

Mshiriki wa Project Fame Aneth Kushaba ndani ya BBM Party

Presenta wa Radio Clouds (pili kulia) pamoja na msanii wa Bongo Fleva, Jaffarai (kushoto) wakiachia na fans wao

...stali zingine bwana...

...mimi naona haya na staili yangu  ya viatu...

BB Me.....

 

PICHA: Mussa Mateja/GPL 

 

Views: 1374

Tags: BBM, CLICK, G5, MAMBO, PARTY, YA, YALIVYOKUWA

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

Comment by Daudy Shushu on October 8, 2011 at 5:26pm
Huyo mwenye sandals kani vunja mbavu,otherwise erthang seemed perfect........Izzzzoooo ma boe u lookin gudda i want one ov em t-shirts
Comment by samwel philipo on September 15, 2011 at 2:37pm
EBANA ILIKUA MZUKA SANA BIG UP
Comment by De Masho on September 15, 2011 at 11:50am
ebanaeeeeeeeeeeeeeee ilikuwa mzuka mbaya
Comment by Muxorhymes on September 14, 2011 at 1:10pm

Hyo dada ?

 

Comment by Muxorhymes on September 14, 2011 at 1:09pm

Mzux wkubwa bata sna2

 

Comment by lightness meena on September 13, 2011 at 2:57pm

No cmnd

 

Comment by ABRAHAM RICHARD on September 13, 2011 at 3:32am
IKO POA
Comment by FRANK JOSEPH on September 12, 2011 at 9:36am

safiiiiiiiii sana!

 

Comment by FREDRISH FELIX on September 11, 2011 at 2:31pm

waooh t waz lil nyc bt so painful 2  mic t.........

 

Comment by sammy ndune gonda on September 11, 2011 at 2:37am

HAPO KWAO

 

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…


FREE FLAVA

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service