TEAM TZ

PICHA ZA MATUKIO YA MAZISHI YA BABA YAKE DITTO

Katika kanisa kuu la Mtakatifu Patrick ambapo misa ilifanyika.

Ditto kati kati Amini Marafiki Na Jamaa wakiwa katika picha ya pamoja nje ya kanisa.

MAKABURINI (Kora, Morogoro).

Ditto Akiwa na team Iliyo toka Dar,Baada ya kutoka katika mazishi na kupitia sokoni na kuchukuwa mahitaji kabla ya kuanza safari ya kulejea Dar.

Afande Sele, Mc Koba na Ditto

Picha: Dismas Ten na Salim More

Views: 1366

Tags: BABA, DITTO, MATUKIO, MAZISHI, PICHA, YA, YAKE, ZA

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

Comment by MOSES MLOWE on August 4, 2012 at 3:35pm

...ni mshtuko wa huzuni, ila usife Moyo, misaafu imetuthibitishia kifo si mwisho wa maisha bali ni uhamisho wa kuamia kwa Muumba/Mbinguni, Pole Ditto

Comment by Vester Aweso on August 3, 2012 at 8:59pm
pole sana brother kumpoteza mtu muhimu sana ktk maisha yako so'dedicate na Jebi swaiba.
Comment by arafat poppinho on August 3, 2012 at 5:38pm

pole ndugu yangu ditto kwa msiba huu mzito

Comment by Amani on August 3, 2012 at 5:11pm

pole kwa wafiwa wote

Comment by irene mwangila on August 3, 2012 at 1:57pm

pole sana kaka Dito na msiba wa Baba

Comment by Anneth Kalinga on August 3, 2012 at 11:14am

pole sana Ditto....

Comment by Badi Hamisi Mchomolo on August 3, 2012 at 8:25am

pole sana

Comment by Fahad Bohari on August 3, 2012 at 2:17am
pole xana kaka moia anatoa mola anatwaa..kaZ yke haina makoxa..AMEN..!!!
Comment by patrick mukama on August 2, 2012 at 11:24pm

dah pole sana kaka ndy life hilo kama ulizaliwa bac uje pia kuna kifo

Comment by Emanuel Sabaya on August 2, 2012 at 5:37pm

pole kaka huna budi kushukuru kwa hayo yote

 

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…


FREE FLAVA

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service