TEAM TZ

Lulu akishuka katika gari la polisi baada ya kuwasili mahakamani leo.

Lulu akiingia katika chumba cha msajili wa mahakama ili kukamilisha dhamana yake.

Kutoka kushoto ni mama mzazi wa Lulu Lucresia Karugila, wakili wa Lulu bwana Kibatala na Dk. Cheni wakijadili jambo wakati wakisubiri dhamana ya Lulu.

Lulu (katikati) akitoka eneo la mahakama baada ya kukamilisha dhamana yake.

Lulu akiongea na wanahabari (hawapo pichani) baada ya kupata dhamana leo.

Lulu akiwa ndani ya gari baada ya kukamilisha dhamana yake.

Gari lililombeba Lulu likiondoka mahakamani.

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo imemwachia kwa dhamana msanii wa filamu, Elizabeth Michael 'Lulu' aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya kumuua msanii mwenzake wa filamu Steven Kanumba Aprili 7, 2012 bila kukusudia baada ya kukamilisha taratibu zote za dhamana.

(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY/GPL)

Views: 6151

Tags: AKIWA, LULU, PICHA, URAIANI, ZA

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

Comment by Omykiss1 Beiby on February 4, 2013 at 8:20am
dah ni jambo la kusikitisha sana jera si kuzuri ndugu Zangu kilicho Mkuta lulu kinaweza kumtokea yoyote yule katika maisha ya binadamu Mungu amjalie atoke kabisa Je Mnawafikiria Vipi Babu Seya Na Papii Kocha...?
Comment by Adinan Madawa on January 30, 2013 at 11:14pm

only God knows who z right & whoz wrong!jipe moyo mdogo wangu lulu mungu atakuxaidia,thats 1 step at a tym.jikaze mamaa mungu yuko pamoja nawe....

Comment by Emmanuel peter on January 30, 2013 at 9:57am

god bless you sista lulu becouse kila mtu hanafanyamakosa so let play and forget  haliyekufa kafa na yaliyo pita ya shapita tuganga yajayo be strong mama steve

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…


FREE FLAVA

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service