TEAM TZ

Stori kubwa ‘inayobeng’ hivi sasa kwenye mitaa ya jiji la Bongo ni kuhusiana na ndoa ya ‘diva’ wa tasnia ya filamu nchini Rose Ndauka a.k.a Omotola inayosemekana kuwa iko shakani hivi sasa.

Katika ‘exclusive Interview’ aliyofanya na Teentz.com hivi punde Rose amefunguka kuwa mipango yake ya kufunga ndoa na Malick Bandawe iko palepale japo kuwa kuna mambo kadhaa ambayo yamekuwa yakichelewesha.

“Mipango iko pale pale, kuna vitu flani vinazingua lakini najua baada ya muda nitaolewa na kuwa mke halali wa Mr Malick Bandawe” alisema Rose huku akimuonyesha mtarajiwa wake.

Ukitaka kusikia zaidi juu ya kilichozungumzwa na msanii huyo wa Filamu ambaye sasa anamiliki kampuni Bonyeza video hiyo.

Stori na Dismas Ten

Views: 6371

Tags: NAOLEWA, NDAUKA:, ROSE, SOON

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

Comment by jack nyenza ligimilo on July 10, 2012 at 1:55pm

mipango ndo mpango , huwezi kupata mpango bila mipango , god bless you n your husband to be , usitishike na maneno yao , maana manenon hata ktk tshirt yapo, ndoa njema

Comment by Bonpol Password on July 9, 2012 at 9:46pm

utatulia au ndo kama.....

Comment by Rajabu Inzari Senzia on July 5, 2012 at 1:16pm

kila laheri dada je utatulia?

Comment by Ester on June 29, 2012 at 4:26pm

wahuu kaimba ukimpata anaekupenda ng'ang'ania....ndauka kazi ukwako.... sasa mbona kama shemeji kalazimishwa kupigwa picha??

 

Comment by rajabu tamambele on June 29, 2012 at 1:18pm

wish u all da best

Comment by SAYLES C. SAIMON on June 29, 2012 at 11:42am

hyaaaaaaaaa kazi kwako sasa

Comment by Gullam Mohammed Rashid on June 29, 2012 at 4:58am

KAWAIDA TUU OLEWA AU SIOLEWE HAINA TOFAUTI BANA

Comment by stephen mwanyonga on June 28, 2012 at 11:54pm

hongera mtoto mzuri angalia magube gube wasikupole......

Comment by chama-baby on June 28, 2012 at 2:41pm

haya karibu sana katika ndoa..

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…


FREE FLAVA

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service