TEAM TZ

Juma Kilowoko ‘Sajuki’ akiagwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea nchini India.

Dada zake Sajuki wakilia wakati wa kumuaga kaka yao.

Msanii Wastara ambaye ni mke wa Sajuki nae akitokwa na machozi.

Mama Sajuki akiwa na majonzi wakati wa kumuaga mwanae.

Mtoto wa Sajuki akiwa amebebwa.

Dada yake Sajuki akifutwa machozi.

Baadhi ya wasanii waliofika uwanjani hapo kumuaga mwenzao wakijadili jambo.

Wastara akiwaaga watu walifika uwanjani kuwasindikiza kwa kilio.

...Akiingia chumba maalum tayari kwa safari kuelekea nchini India.

Mama mzazi wa Sajuki, Bi. Zaituni akiwashukuru Watanzania kwa michango yao iliyofanikisha safari ya mwanae kwenda nchini India.

kwa habari zaidi tembelea

wwww.globalpublishers.info

Views: 5147

Tags: AAGWA, KWA, SAJUKI, VILIO

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

Comment by Ezekiel Francis Nyoni on May 20, 2012 at 7:18am

Mungu hatakusaidia ndugu yangu kwani sisi binadamu si kitu leo ni mzima kesho hunaumwa kwa sababu binadamu ni pumje ndogo sana ni ndogo zaidi ya mchanga kwa sababu hunaweza hukajichoma na mwiba tuu hukakusumbua cku kibao kwahiyo sisi sote hapa duniani ni wagonjwa kwani hata kwenye biblia himeandikwa hakuna haliye timilifu duniani mungu hakuponye hurudi kwenye afya yako ya kawaida 

Comment by Gabriel Modest on May 19, 2012 at 2:48pm

Mungu amsaidie Sajuki apone na awe na afya njema.Amina.Tunakuombea kaka

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…


FREE FLAVA

TOP PHOTOS

1. IMG-20150312-WA0014

Added by Salvatory Miheza on March 14, 2015

3. Nah real

Added by ChuiChui-Teamtz on March 30, 2015

 

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service