TEAM TZ

Mbele ya kamera ya “Take One” ya Clouds TV, Katika mahojiano kati ya Zamaradi Mketema na wasanii wa kuigiza katika “Take One” swali ambalo hatolisahau ilikuwa ni mahojiano kati yake na marehemu Kanumba alimuuliza hivi” Unaoa lini” Jibu la Kanumba lilikuwa hivi “Bado bado” maneno mengine ndani yake” hilo ndilo swali ambalo Zamaradi hatolisahau katika maisha yake. Katika kuangalia filamu mbalimbali lazima kuna filamu tunazipenda zaidi kuliko nyingine na filamu anazpenda sana Zamaradi ni 20% na Swahiba. “Take One” mbele ya kamera ni Zamaradi Mketema kila Jumatano saa 3:00 Usiku hadi saa 4:00 Usiku kupitia Clouds TV The People’s Station.

Views: 860

Tags: MKETEMA, NA, ONE", TAKE, ZAMARADI

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

G5 CLICK - LATEST NEWS

BEN POL KUACHIA NGOMA MPYA

Mwanamuziki Ben Pol.

MKALI wa R&B nchini, Ben Pol anategemea kuachia wimbo wake mpya ‘Twaendana’ siku ya Jumatatu Agosti, 25 ambao una ubia na mtayarishaji wa muziki wa Noiz Maker production, DX.

Ben Pol ameitambulisha ‘Twaendana’ kama official single baada ya wimbo…

Latest Activity

Sukma Darajat posted a status
"✈✈♂ ♀Inbetweeners 2 2014✈✈♂ ♀Watch The Inbetweeners 2 Full Movie Streaming online free http://www.dailymotion.com/video/x247d7q"
7 minutes ago
Sukma Darajat posted a status
"Viooz+movie||^ Watch Into the Storm Full Movie [[]] Streaming Online (2014) 1080p HD http://www.youtube.com/watch?v=3sNgk7nOfcs"
16 minutes ago
hasan posted a status
17 minutes ago
malik posted a status
"Watch Let's Be Cops [[Full Movie Streaming Online 2014]] 720p HD http://www.youtube.com/watch?v=vOHFwMwyae0"
22 minutes ago


FREE FLAVA

party at ibiza, baby style

party at ibiza, baby style

Added By: FREEFLAVA
on 24-06-2014
Category: Comedy
Tags: party at ibiza, baby style
Views: 222 | Comments: 0TOP PHOTOS

2. IMG_20131002_151537

Added by Serafin kweka on July 25, 2014

 

© 2014   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service