TEAM TZ

Wema Sepetu na Mama Kanumba waangua kilio kwenye uzinduzi ''Foolish age'' ya Lulu

Super Star Wema Sepetu na Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba... walijikuta wakitokwa na machozi kwa pamoja kwenye uzinduzi wa filamu ya ''Foolish age''

Baada ya Wema kuwasili kwenye ukumbi wa Mlimani City ulipofanyikia uzinduzi huo... muda kidogo Mama kanumba aliamka nakwenda kumsalimia Wema, walikumbatiana huku wakitililikwa na machozi zaidi ya dakika mbili... Wema alichukua pochi yake nakuanza kumtuza Mama Kanumba pesa nyingi sana zisizokuwa na idadi.

Views: 702

Comment

You need to be a member of TEAM TZ to add comments!

Join TEAM TZ

G5 CLICK - LATEST NEWS

WANAWAKE WA-IRAN WAFUNGISHWA NDOA NA IMAM SHOGA SWEDEN

Shoga, Imam Zahed akiwafungisha ndoa Maryam Iranfar (mume mwenye mtandio) na Sahar Mosleh (mke).…

Latest Activity


FREE FLAVA

party at ibiza, baby style

party at ibiza, baby style

Added By: FREEFLAVA
on 24-06-2014
Category: Comedy
Tags: party at ibiza, baby style
Views: 222 | Comments: 0TOP PHOTOS

2. IMG_20131002_151537

Added by Serafin kweka on July 25, 2014

 

© 2014   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service