Entertainment

Rapper Meek Mill ahukumiwa kifungoa cha miaka 2-4 jela kwa kosa la kukiuka masharti ya probation

Rapper Meek Mill ahukumiwa kifungoa cha miaka 2-4 jela kwa kosa la kukiuka masharti ya probation
Profile photo of sadock

Rapper kutoka Philadelphia, Meek Mill amehukumiwa kwenda jela? Rapper huyo amekutana na rungu la kifungo cha miaka 2-4 jela.

Jaji wa mahakama ya mjini Philadelphia amemhukumu mwandishi huyo kifungo hicho kutokana na kukiuka masharti ya majaribio yake ya kesi ya madawa ya kulevya na silaha ya 2009.

Rapper Meek Mill, right, arrives at the Criminal Justice Center with his lawyer Brian McMonagle, left, in Philadelphia, PA on November 6, 2017. DAVID MAIALETTI / Staff Photographer

Rapper Meek Mill, right, arrives at the Criminal Justice Center with his lawyer Brian McMonagle, left, in Philadelphia, PA on November 6, 2017. DAVID MAIALETTI / Staff Photographer

Hukumu hiyo imetolewa Jumatatu hii ambapo rapper huyo alionekana mahakamani hapo. Hukumu hiyo imekuja baada ya kukamatwa kwa kosa la kupigana kwenye uwanja wa ndege wa St. Louis na kuendesha gari kwa fujo mjini New York City.

Baadhi ya watu akiwemo Jay Z wamelaani hukumu hiyo wakidai kuwa imemuonea Meek.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017