Entertainment

Rosa Ree atangaza rasmi kuondoka ‘The Industry’ ya Naykenzo

Rosa Ree atangaza rasmi kuondoka ‘The Industry’ ya Naykenzo
Profile photo of sadock

Rapper Rosa Ree amefunguka kuondoka rasmi katika label ya The Industry.

Rapper huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Dow’ amesema mkataba wake na label hiyo ulimalizika na hakuongeza tena, hivyo hivi sasa anaendelea na watu waliokuwa akifanya nao kazi toka awali.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017