Entertainment

Sauti Sol wamekuwa wasanii wa kwanza Kenya kufikisha followers Million 1 Instagram

Sauti Sol wamekuwa wasanii wa kwanza Kenya kufikisha followers Million 1 Instagram
Profile photo of sadock

Kundi la wasanii wa Kenya la sauti Sol limeweka rekodi yao, wamekuwa wasanii wa kwanza nchini Kenya kufikisha idadi ya followers Million 1 Instagram.

1473798980sauti-sol

Baada ya kufanikiwa kuongeza idadi hiyo, wasanii hao kupitia mtandao wa Twitter wamesherekea kwa kuandika, “#Goodmorning Apparently we’re the first Kenyan musicians to reach a million legit followers on @instagram . Damn it’s hard outchea. 🙆🙆🙆🙆.”

Wasanii hao kwa sasa wapo kwenye ziara ya show zao nchini Ujerumani na Ubelgiji.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

barnaba

New Video: Barnaba – Mapenzi Jeneza (Official Music Video)

sadockSeptember 20, 2017
future-wizkid-world-tour (1)

New Music: Wizkid f/ Future – Everytime

sadockSeptember 20, 2017
18_ba_ANP-53285975

Uliikosa orodha ya washindi wa tuzo za Emmys 2017, Hii hapa yote

sadockSeptember 20, 2017
atengeneze

Diamond akiri mtoto wa Hamisa ni wa kwake, aomba msamaha

sadockSeptember 19, 2017