Entertainment

Shilole: Niliwapa muda wasanii wakike ili mfanye yenu lakini naona mmeshindwa, narudi mwenyewe sasa

Shilole: Niliwapa muda wasanii wakike ili mfanye yenu lakini naona mmeshindwa, narudi mwenyewe sasa
Profile photo of sadock

Bongo Fleva Diva Shilole anarudi na rekodi mpya wiki hii na ujumbe wake Instagram anasema hana mpinzani kwa wasanii wa kike Tanzania.

Kwenye IG yake kaandika

“Niliwapa muda flani wasanii wakike ili mfanye yenu lakini naona sielewi elewi, Sasa nasemajeeee acha Malkia nirudie kiti changu tu imeshakuwa confirmed kuwa sina mpinzaniiii…Shishi SHE ROLL IT. Mungu amenipa hakuna wa kuninyang’anya, Ujio mwingine wa roho mbaya kabisaa😨“

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

Hamisa

Hamisa Mobetto amuita mtoto wake ‘Abdul Naseeb’ je, ni uthibitisho kuwa ni wa Diamond?

sadockAugust 18, 2017
aptopix-jdrf-la-14th-annual-imagine-gala

Usher agoma kuwalipa waliomshitaki kuwa amewaambukiza gonjwa la ngono

sadockAugust 16, 2017
fresh

New Video: Fid Q – Fresh ( Official Music Video)

sadockAugust 15, 2017
nay

New Video: Nay wa Mitego ft Rich Mavoko – Acheze

sadockAugust 11, 2017