Entertainment

Siku moja baada ya kuachia album mpya yenye ngoma 55, Chris Brown aachia ngoma nyingine mpya

Siku moja baada ya kuachia album mpya yenye ngoma 55, Chris Brown aachia ngoma nyingine mpya
Profile photo of sadock

Anachokifanya Chris Brown ndio kinaiytwa Back to Back, ikiwa imepita siku moja tu baada ya kuachia album mpya ‘HeartBreak on a full moon” ameachia ngoma nyingine mpya.

Siku ya jana mkali huyo wa R&B kutoka Marekani aliachia album mpya yenye nyimbo 45 ikiwemo ngoma kama Party, Privacy na Grass aint Greener ambazo tayari zimefikia kiwango kikubwa cha mauzo cha Platnum na Gold.

Leo Chris Brown ameachia ngoma nyingine mpya ‘Last all Night’ hatahivyo hii ameitoa kama zawadi kwa mashabiki wake kwasababu inapatikana bure kabisa kwenye soundcloud yake.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017