Entertainment

Staa wa Nigeria Skales aachia video mpya za ngoma zake mbili , aongelea mpango ya kuiteka Afrika Mashariki

Staa wa Nigeria Skales aachia video mpya za ngoma zake mbili , aongelea mpango ya kuiteka Afrika Mashariki
Profile photo of sadock

Staa wa Muziki wa Nigeria, Skales ameachia ngoma zake mbili mpya ‘Agolo’ na ‘Booty Language’ aliyomshirikisha rapper wa Ghana, Sarkodie.

Skales ambaye amewahi kutamba na vibao kama “Temper” na “Shake Body” amefunguka mpango wake wa kumshirikisha msanii wa Afrika Mashariki siku za usoni,

“Nimeamua kuja na mkakati wa kuimarisha ‘Brand’ yangu upande huu kutokana na support kubwa ninayopewa na mashabiki wangu wa Afrika Mashariki , wamewezesha ngoma zangu kuwa kubwa” Skales alifunguka.

“Muziki ni lugha inayozungumzwa na kila mtu na utamaduni na muziki wa Afrika mashariki una mchango mkubwa sana kwenye muziki wangu.” Alifunguka.

‘Agolo’ na ‘Booty Language’ ni ngoma kutoka kwenye album yake  ‘The Never Say Never Guy” aliyoiachia mapema mwaka huu, amedai kuwa album yake mpya imechangiwa kwa kiasi kikubwa na muziki wa Afrika Mashariki.

Pia unaweza kuzidownload ngoma hizo kupitia Dropbox

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

mgid_ao_image_logotv

New Video: Jennifer Hudson – Burden Down [Official Music Video]

sadockDecember 13, 2017
_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017