Entertainment

Tanzania hakuna mashabiki wa kweli kwenye muziki-One the Incredible

Tanzania hakuna mashabiki wa kweli kwenye muziki-One the Incredible
Profile photo of sancho song

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, One the Incredible amesema wasanii bado wahawana mashabiki na ndio sababu ya kutokuwepo kwa mauzo ya albamu. Rapper huyo ambaye ameachia ngoma mpya ‘Danga’, ameeleza licha ya changamoto hiyo bado amekuwa akitoa albamu kwani ana baadhi ya mashabiki ambao wamekuwa wakinunua kazi zake.

onei

“Huwa natoa albamu, mimi sio msanii wa single, sijui kuhusu watu wengine lakini kitu kimoja ninachokifahamu kuhusu industry ya Tanzania ni kwamba wasanii kwa asilimia kubwa bado hawana mashabiki. Kuna watu wanapenda muziki, kuna watu wanadownload, kuna wanashare lakini sio mpenzi wa sanaa tunaweza tukaandaa show tukahusisha wasanii wengi wakajaa watu 30,000 lakini masanii mmoja akaandaa show yake hawafiki watu hata 1,000, kwa hiyo inaonyesha mashabiki hamna au industry haijajengwa kuwaelewesha wafuatiliaji wa muziki jinsi ya kuwa mashabiki. “Kwa upande wangu nimekuwa na fan base yangu in way imekuwa inakua, haijafika pale ambapo nataka iwepo lakini na fan base nzuri tu ambayo inatokana na mimi kufanya albamu,” amesisitiza One

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017