Entertainment

Tanzania yashindwa kung’ara Miss World 2015, Afrika Kusini & Sudan kusini watinga Top 20

Tanzania yashindwa kung’ara Miss World 2015, Afrika Kusini & Sudan kusini watinga Top 20
Profile photo of sadock

Mrembo Mireia Lalaguna Royo kutoka Spain ameshinda Miss World mwaka 2015.

Winner-Miss-World-2015

Mireia Lalaguna Royo ambaye pia  ameshinda  ‘Miss World Top Model prize’ kwenye fainali za mashindano hayo zilizofanyika Nchini China, alijibu hivi alipoulizwa swali lake la mwisho na majaji

“Just because I am beautiful on the outside does not mean I am not beautiful on the inside, 
I think I should be the next Miss World because I believe in strong women, I also think I have something inside my heart that I always try to give the best of me. I also believe in Beauty With A Purpose and want to continue its legacy.”

Top-5                                                                   Top 5

TOP-10                                                        Top 10

Warembo kutoka Afrika kusini, Liesl Laurie na Sudan kusini, Ajah Deng  ndio mrembo pekee wa Afrika waliongia Top 20.

MW2015_Tanzania_01.x450

Mrembo kutoka Tanzania, Lilian Kamazima japo hajashinda lakini amefanya vizuri, Tunampongeza.

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017