Entertainment

Tazama Documaentary ya Jay Z na Kanye West “Public Enemies.”

Tazama Documaentary ya Jay Z na Kanye West “Public Enemies.”
Profile photo of sadock

Documentary inayoelezea uhusiano wa Jay Z na Kanye West itaoneshwa wiki hii kituo cha runinga cha Uingereza ‘Channel 4.’ lakini tayari imewekwa online.

Tofauti ya jina la Documentary hiyo “Public Enemies” haioneshia bifu la chini chini la rappers hao linaloendelea kwasasa, inaonesha jinsi mastaa hao walivyotoka, maisha yao kabla ya ustaa na hadi walivyokutana .

Pia kuna mahojiano na watu wao wa karibu ikiwemo walimu wa Jay Z wa shule ya awali pia DJ Clark Kent, Touré, Tarrey Torae, na Jensen Karp kati ya watu wengi wanaohusiana na marapper hao.

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

Hamisa

Hamisa Mobetto amuita mtoto wake ‘Abdul Naseeb’ je, ni uthibitisho kuwa ni wa Diamond?

sadockAugust 18, 2017
aptopix-jdrf-la-14th-annual-imagine-gala

Usher agoma kuwalipa waliomshitaki kuwa amewaambukiza gonjwa la ngono

sadockAugust 16, 2017
fresh

New Video: Fid Q – Fresh ( Official Music Video)

sadockAugust 15, 2017
nay

New Video: Nay wa Mitego ft Rich Mavoko – Acheze

sadockAugust 11, 2017