Business

Tecno Dude Mkombozi Wa Watanzani.

Tecno Dude Mkombozi Wa Watanzani.
Profile photo of sancho song

Kampuni maarufu ya simu nchini Tanzania Tecno Mobile imeendelea kujali wateja wake wenye vipato  vya aina mbalimbali,

Kampuni imetambuulisha sokoni  simu mpya maarufu kama TECNO DUDE simu hiyo imekuja kua mkombozi kwa watanzania wenye kipato cha chini waliokua hawana uwezo wa kumiliki simu zenye teknolojia ya kisasa ya kimtandao yenye kasi maarufu kama 4G (fourth generation).

1 (2)

Tecno Dude ni mkombozi kwa watanzania na sasa watamiliki simu zenye uwezo wa kua na mtandao wa kasi kwa bei nafuu. Tecno wameingiza simu hii mpya sokoni kwa nia na madhumuni ya kuwapa nafasi wateja wao wasio miliki simu zenye uwezo wa kasi ya mawasiliano ya mtandao wa 4g kumiliki simu ya aina hiyo.

2

Simu hii maalum kabisa yenye uwezo wa juu kabisa   inapatikana kwenye maduka yote nchini ya simu na zaidi imeanza kupatikana sasa katika maonesho ya biashara  ya SabaSaba 2017.

Wahi na ujipatie simu hii matata kabisa ambayo ina ubatizo wa jina  la “TecnoDude” ukifika dukani wewe sema nipatie TecnoDude , na hapo utakua umekua miongoni mwa watu waliopata kilicho bora, Tecno wanawaambia wateja wao ni muda wa kuwasha dude s lenye mawasiliano ya uwezo  kasi ya hali ya juu wa 4G.

Comments

comments

Business

More in Business

t4

#TecnoDude Ya Washa dude kitaani

sancho songJuly 10, 2017
tecno1

TECNO YAAMSHA DUDE KWA BEI CHEE

sancho songJuly 6, 2017
sta

List ya mastaa wa soka barani Ulaya kuja Tanzania yazidi kuongezeka

sancho songJune 20, 2017
g

Hili ndilo gari la kifahali na gharama zaidi Duniani kwa mwaka 2017, Linauzwa Tsh 29b

sancho songJune 16, 2017