Business

#TecnoDude Ya Washa dude kitaani

#TecnoDude Ya Washa dude kitaani
Profile photo of sancho song

 

Baada ya mzigo mpya kutoka Tecno kuingizwa mtaani kwaajili ya Watanzania wiki moja iliyopita baadhi ya watumiaji wa bidhaa hiyo warudisha majibu mazuri kwa angle tofauti tofauti kuhusiana na simu hiyo #TecnoDude kwa uzoefu waliyoupata katika kipindi hiki kifupi toka wainunue .

Hawa ni baadhi ya wateja wanafamilia wa #TecnoDude #TecnoWashaDude wakijidaiya mambo waliyoyakuta ndani ya simu hiyo kupitia mitandao yao ya kijamii ususani instagram

t

Ni simu yenye gharama ndogo yenye hadhi kubwa sana katika matumizi yake ina muonekano mzuri,rangi,memory na ina support 4g hayo ndio niliyoyapata baada kuinunua #tecnodude na zinapatikana Keene maduka yote ya Tecno kwa bei ya 180,000 tu @jrjunior5 sanchosong #tecnowashadude

t1

Yenyewe tu inajieleza sina cha kuongezea zaidi ya kukushauri jinsi ya kuipata #tecnodude #tecnowashadude ni maduka yote ya Tecno nchini hapa kwa bei ya 180,000 @sanchosong @jrjunior5 @djferuuh

t2

Ni simu yenye gharama ndogo yenye hadhi kubwa sana katika matumizi yake ina muonekano mzuri,rangi,memory na ina support 4g hayo ndio niliyoyapata baada kuinunua #tecnodude na zinapatikana Keene maduka yote ya Tecno kwa bei ya 180,000 tu @jrjunio5 sanchosong #tecnowashadude

t3

Ninacho amini hii simu #tecnodude ni rafiki kwa Watanzia ina sifa zote tunazozihitaji kama watumiaji wa kisasa @jrjunior5 @sanchosong #tecnowashadude

t5

Toka niipate #tecnodude inanipa sana wepesi wa kuwa nayo yenyewe tu bila Power bank coz inakaa na charge ukilinganisha na smart phones nyingine, pia na share mixing zangu na washkaji zangu faster nikiwa mtamboni tokana na kasi yake ya 4G sababu mimi ni Dj @sanchosong @jrjunior5 @fullbata #tecnowashadude

t4

Mimi naifurahia jinsi ilivyo slim sababu inashikika utamu sana bila bugdha yoyote mpaka raha na haikwami kwami sababu ina internal memory ya kunitosha,rangi zake ni kali zipo zaidi ya rangi moja na zinapatikana katika maduka yote ya Tecno Nchini Tanzania na ninathubutu kusema #tecnodude ni mkombozi wa Watanzania #tecnowashadude @sanchosong @jrjunior5

Comments

comments

Business

More in Business

tecno1

TECNO YAAMSHA DUDE KWA BEI CHEE

sancho songJuly 6, 2017
t

Tecno Dude Mkombozi Wa Watanzani.

sancho songJuly 4, 2017
sta

List ya mastaa wa soka barani Ulaya kuja Tanzania yazidi kuongezeka

sancho songJune 20, 2017
g

Hili ndilo gari la kifahali na gharama zaidi Duniani kwa mwaka 2017, Linauzwa Tsh 29b

sancho songJune 16, 2017