Entertainment

Tiger Woods matatani baada ya kukamatwa akiwa anaendesha gari huku amelewa

Tiger Woods matatani baada ya kukamatwa akiwa anaendesha gari huku amelewa
Profile photo of sadock

Nyota wa mchezo wa gofu duniani Tiger Woods amekamatwa kwa kosa la kuendesha gari akiwa amelewa mjini Florida.

Woods ambaye hajang’ara katika mchezo huo kwa takribani muongo mmoja sasa, alikamatwa majira ya saa moja na kisha kuachiwa baada ya uchunguzi kukamilika.

t1larg.tiger.woods.gi

Mchezaji huyo hakupenda kuzungumzia lolote kuhusu tukio hilo.

Hivi karibuni Woods alifanyiwa oparesheni ya mgongo na anatarajia kukaa nje ya uwanja kwa miezi sita.
Aliandika katika mitandao ya kijamii kuwa upasuaji umemalizika salama na atapona hivi karibuni.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

barnaba

New Video: Barnaba – Mapenzi Jeneza (Official Music Video)

sadockSeptember 20, 2017
future-wizkid-world-tour (1)

New Music: Wizkid f/ Future – Everytime

sadockSeptember 20, 2017
18_ba_ANP-53285975

Uliikosa orodha ya washindi wa tuzo za Emmys 2017, Hii hapa yote

sadockSeptember 20, 2017
atengeneze

Diamond akiri mtoto wa Hamisa ni wa kwake, aomba msamaha

sadockSeptember 19, 2017