Entertainment

Usher agoma kuwalipa waliomshitaki kuwa amewaambukiza gonjwa la ngono

Usher agoma kuwalipa waliomshitaki kuwa amewaambukiza gonjwa la ngono
Profile photo of sadock

Staa wa RnB Usher amesema hana mpango wa kumlipa mtu yoyote aliyefungua kesi dhidi yake akidai amemuambukiza gonjwa la ngono linaloacha alama na vidonda ‘HERPES’.

Watu wa karibu na Usher wamethibitisha kuwa staa huyu amekataa kukutana na mtu yoyote ili kuongelea jambo hili na hana mpango wa kulipa mtu.

Wanawake watatu na mwanaume mmoja mpaka sasa wamejitokeza wakidai kuambukizwa gonjwa la ngono na Usher Raymond.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017