Entertainment

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’
Profile photo of sadock

Hatimaye Vanessa Mdee ameachia kava la albamu yake mpya aliyoipa jina la ‘Money Mondays’ ambayo bado haijatoka.

25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vee Money ameonyesha kava hilo kupitia mtandao wake wa Instagram na kuthibitisha hiyo ndio yenyewe kwa kuandika, “This is the official album cover #MoneyMondaysTheAlbum 🍾🙌🏽🙏🏾💫💫⁉️❗️🎁⁉️⁉️💜👩‍🎤 📸.”

Wakati akiongea na Bongo5 Jumanne hii, msanii huyo alisema albamu yake hiyo mpya itakuwa na nyimbo 18.

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017
Makulusa-COVER-640x614

New Video: Rayvanny – Makulusa ft Maphorisa x Dj Buckz (Official Music Video)

sadockDecember 20, 2017