Entertainment

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje
Profile photo of sadock

Staa wa muziki wa Bongo, Vanessa Mdee amekula shavu nono la kusaini na label kubwa ya muziki duniani, Universal Music Group, mwenyewe amesema ni mkataba mnono.

 

Vee Money amesema hilo baada ya kutangaza kusaini mkataba na kampuni hiyo kubwa ya muziki duniani ambayo itakuwa inasimamia kazi zake katika Ulaya na Afrika.

Mdee

Akiongea na Social Buzz ya Clouds TV, muimbaji huyo amesema albamu hiyo itatoka mwezi wa sita mwakani chini ya kampuni ya Universal ambapo kwa mkataba wa aina yake ambao amesaini unamfanya kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika kupata dili nono kama hilo katika kampuni hiyo.

Msanii mwengine wa Bongo Flava ambaye anafanya kazi na kampuni ya Universal ni Diamond Platnumz.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Makulusa-COVER-640x614

New Video: Rayvanny – Makulusa ft Maphorisa x Dj Buckz (Official Music Video)

sadockDecember 20, 2017