Entertainment

Video: Diamond awaonjesha mashabiki kionjo cha wimbo wake mpya na Young Killer

Video: Diamond awaonjesha mashabiki kionjo cha wimbo wake mpya na Young Killer
Profile photo of sadock

Collabo ya Mkali wa Bongo Fleva, Diamond na rapper Young Killer inaweza  ikawa ipo njiani kutoka muda wowote, Diamond amewaonjesha mashabiki kionjo cha wimbo huo.

Kupitia snapchat, Diamond alipost video akisikiliza wimbo huo alipokuwa Mombasa mapumzikoni, wimbo huo unaitwa ‘Pamela’

Diamond kwasasa anafanya vizuri na ngoma zake mpya tatu alizoziachia mfululizo huku akiahidi kuachia ngoma nyingine muda wowote.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

Hamisa

Hamisa Mobetto amuita mtoto wake ‘Abdul Naseeb’ je, ni uthibitisho kuwa ni wa Diamond?

sadockAugust 18, 2017
aptopix-jdrf-la-14th-annual-imagine-gala

Usher agoma kuwalipa waliomshitaki kuwa amewaambukiza gonjwa la ngono

sadockAugust 16, 2017
fresh

New Video: Fid Q – Fresh ( Official Music Video)

sadockAugust 15, 2017
nay

New Video: Nay wa Mitego ft Rich Mavoko – Acheze

sadockAugust 11, 2017