Hot Below Trending

Video: Obama atoa Hotuba yake ya mwisho kama Rais wa Marekani

Video: Obama atoa Hotuba yake ya mwisho kama Rais wa Marekani
Profile photo of sadock

Rais Barack Obama, Jumanne hii huko jijini Chicago ametoa hotuba yake ya mwisho kuwaaga Wamarekani baada ya kuwatumikia kwa miaka minane.

Kwenye hotuba hiyo iliyokuwa imejaa hisia na simanzi, Rais Obama amewataka Wamarekani kulinda demokrasia yao. Amewataka Wamarekani wa kila kundi kufikiria mambo kwa mtazamo wa kila mmoja na kuwataka wasikilizane. Wafuasi wake walisikika wakipiga kelele ‘miaka mine tena’ lakini kwa tabasamu akawajibu ‘siwezi kufanya hivyo.’

Rais Obama alishindwa kuzuia machozi wakati akishukuru Familia yake iliyokuwa nyuma yake ndani ya miaka nane yote ya uongozi wake.

Comments

comments

Hot Below Trending

More in Hot Below Trending

donald-trump

Trump amteua mkwe wake kuwa mshauri mkuu Marekani

sadockJanuary 10, 2017
Max

Maxence Melo, mwanzilishi wa Jamii Forums aachiwa kwa dhamana

sadockDecember 19, 2016
Thuli+Madonsela

Thuli Madonsela aibeba tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’ aliyokuwa anawania Rais Magufuli

sadockNovember 18, 2016
wpid-wp-1477294474334.png

Watanzania washindwa kung’ara tuzo za MAMA 2016, Tazama orodha kamili ya washindi

sadockOctober 24, 2016