Entertainment

Videos: Kilichotokea kwenye Tamasha la Fiesta 2017 Grand Finale

Videos: Kilichotokea kwenye Tamasha la Fiesta 2017 Grand Finale
Profile photo of sadock

Show ya kufunga tamasha la Fiesta 2017 imefanyika weekend hii kwenye viwanja vya Leaders, Dar es salaam. Mastaa wakubwa wa Tanzania waliungana kulishambulia jukwaa la tamasha hilo kubwa zaidi Tanzania.

Alikiba, Vanessa Mdee, Jux, Weusi, Aslay, Ben Po, Fid Q, Mr Blue, Ommy Dimpoz, Rich Mavoko na wengine wengi walitumbuiza kwenye tamasha hilo, Tazama show zao,

Comments

comments

More in Entertainment

mgid_ao_image_logotv

New Video: Jennifer Hudson – Burden Down [Official Music Video]

sadockDecember 13, 2017
_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017