Entertainment

Visiwa vya Barbados alipotokea Rihanna, kumpa heshima hii staa huyo

Visiwa vya Barbados alipotokea Rihanna, kumpa heshima hii staa huyo
Profile photo of sadock

Katika kusherekea siku yake ya uhuru ‘Novemba 20′ visiwa vya Barbados vimeamua kumpa heshima staa mkubwa anayetukea huko, Rihanna kwa kuupa mtaa mmoja jina la staa huyo.

Mtaa wa Westbury New Road ambao Rihanna amekua umebadilishwa jina na kuitwa Rihanna Drive.

“The Government of Barbados will on Independence Day, Thursday, November 30, 2017 officially change the name of  Westbury New Road located in  St. Michael  to Rihanna Drive in honour of Barbadian superstar Ms. Robyn Rihanna Fenty who grew up in Westbury New Road.” Waziri wa utalii wa visiwa hivyo alitangaza.

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017