Entertainment

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube
Profile photo of sadock

Wimbo mpya wa Diamond Platnumz aliomshirikisha rapper mkongwe wa Marekani, Rick Ross ‘Waka’ umeshika namba moja kwenye mtandao wa Youtube kwenye nchi tatu tofauti, Tanzania, Kenya na Uganda.

diamondplatnumz_10_12_2017_14_4_27_493-768x768

Diamond Platnumz kupitia Instagram yake ameandika ujumbe wa kuwashukuru mashabiki wake kwa kuwezesha hilo.

THANK YOU SO MUCH FOR THIS LOVE MY PEOPLE….Nashkuru kwa kuendelea kukipokea Kidogo changu niwapacho….Inshaallah Mungu anijalie niwape kikubwa zaidi🙏 NUMBER ONE HERE!! NUMBER ONE THERE!!…WAKA WAKA NUMBER ONE EVERY WHERE!!!!🔥….. #TANZANIA #KENYA #UGANDA 💞💝 STREAM!! WATCH!! DOWNLOAD!! SHARE!! LINK IN MY BIO

Pia Diamond ameachia tracklist ya nyimbo zitakazokuwepo kwenye album yake mpya ‘A Boy from Tandale’ ambayo imeanza kuwa tayari kwa pre-order kwenye mtandao wa Itunes.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

facup-the-cup-3323603b-1

Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City

sadockJanuary 9, 2018
chiiiii

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha

sadockJanuary 9, 2018
25008524_375147772949765_5376644961137590272_n

Vanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’

sadockDecember 20, 2017
Vanessa Mdee

Vanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia usambazaji wa kazi zake nje

sadockDecember 20, 2017