Hot Below Trending

Watu 20 wauawa na wengie 100 wajeruhiwa shambulio la risasi kwenye tamasha la muziki Las Vegas Marekani

Watu 20 wauawa na wengie 100 wajeruhiwa shambulio la risasi kwenye tamasha la muziki Las Vegas Marekani
Profile photo of sadock

Zaidi ya watu 20 wameuawa na takriban 100 kujeruhiwa kwenye ufyatuaji wa risasi wakati wa tamasha huku Las Vegas. Marekani.

Mtu mwenye bunduki aliafyatua risasi kutoka ghoroga ya 32 kwenye hoteli ya Mandalay Bay, kwenda kwa tamasha lililokuwa likiendelea nje.

_98101587_d846a9cf-5255-4c24-ba0f-dc11ec5779b4

Polisi wanasema mshukiwa ambaye alitajwa kuwa makaazi wa mji huo na ambaye hakutajwa jina ameuawa.

Mamia ya watu walikimbia eneo hilo na milio ya risasi ikasikika kwa muda kwenye video zilizochapishwa katika mitandao ya kijamii.

Ufyatuaji huo ulitokea mwendo wa saa 05:30 GMT na walioshuhudia walisema kuwa mamia ya risasi zilifyatuliwa.

_98101589_895f10a7-a9f1-4903-bc7a-dd30ccd0b588

Usafiri wa ndege ulisitishwa kutoka uwanja wa ndege wa McCarran mjini Las Vegas.

 

Comments

comments

Hot Below Trending

More in Hot Below Trending

_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017
hero-man-utd-v-man-city-blog

Man United yachezea 2-1 kwa Man City

sadockDecember 11, 2017