Entertainment

Wimbo mwingine wa zamani wa Jay z ambao haukuwahi kuachiwa ‘The Black Gangster’ Usikilize hapa

Wimbo mwingine wa zamani wa Jay z ambao haukuwahi kuachiwa ‘The Black Gangster’ Usikilize hapa
Profile photo of sadock

Kwasasa si rahisi kuzisikia kazi mpya za Jay Z, Mwekezaji kwenye huduma ya streaming kupitia mtandao wa Tidal, Mmiliki wa label ya muziki ya Roc Nation, Rapper mwenye profile ya juu na Mume wa mwanamuziki mwenye nguvu zaidi kwenye muziki duniani (Beyonce) ni wazi muda wa Jay Z kuingia studio ni mdogo sana, Lakini bado unaweza kata kiu yako kwa kusikiliza wimbo wa Jay Z ambao hakuwahi kuuachia.

jay-z-tidal-x

Mapema mwezi huu Tim Westwood aliachia moja ya Freestyle ya Jay Z ya mwaka 1999 ambayo haikuwahi kuachiwa na sasa Dj Absolut ameachia wimbo mwingine wa Jay Z ‘Black Gangster’ ambao pia haukuwahi kuachiwa (Usikilize hapo juu), Huu wimbo ni original version ya ‘This Life Forever’ wimbo uliokuwepo kwenye album ya Jay Z ya mwaka 1999 ‘Black Gangster project’ na Mixtape ya mwaka 2003 ‘S. Carter Collection’  (Usikilize hapa chini)

Kumekuwa na tetesi kuwa kuna album ya pamoja ya Jay z na Beyonce, Pia Jay Electronica aliwahi kusema kuwa kuna kazi mpya za Jay Z zitatoka hivi karibuni, kwahiyo tunaweza kutegemea chochote kutoka kwa Boss wa Roc Nation.

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

chrissy-teigen-john-legend-selfie-getty

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia mtoto wapili

sadockNovember 22, 2017
huhuu

Tiwa savage: Mimi sio mjamzito, hizo ni taarifa za uongo

sadockNovember 22, 2017
clo1

Mkuu wa mkoa, Paul Makonda atembelea ofisi za Clouds Media Group kutoa pole

sadockNovember 22, 2017
pink-beautiful-trauma-tracklist

New Video: P!nk – Beautiful Trauma

sadockNovember 22, 2017