Entertainment

Wizkid apata mtoto wa tatu, amezaa na meneja wake

Wizkid apata mtoto wa tatu, amezaa na meneja wake
Profile photo of sadock

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun ‘Wizkid’, amethibitisha kupata mtoto watatu aliyempatia jina ‘Zion Ayo Balogun’.

Kupitia ukurasa wake wa Twiter, Wizkid mwenye umri wa miaka 27 aliweka ujumbe ulioashiria utambulisho wa jina la mtoto huyo wa tatu wa kiume ambaye amempata kwa meneja wake wa kimataifa ‘Jada Pollock’.

Taarifa za mtoto huyo wa Wizkid zinasema kuwa, Jada Pollock amejifungua siku kadhaa zilizopita nchini Uingereza lakini amekuwa msiri sana juu ya kujifungua kwake mpaka siku ya jana ambayo wizkid aliweka ujumbe wa jina la mwanae.

Hata hivyo Staa Wizkid na maneja wake Jada Pollock walianza kuonekana rasmi kuwa katika mahusiano tangu mwaka jana.

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

mgid_ao_image_logotv

New Video: Jennifer Hudson – Burden Down [Official Music Video]

sadockDecember 13, 2017
_99171871_cef98067-831f-46ed-9b08-b20ac967d873

Oscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani

sadockDecember 13, 2017
eminem-e1507948158888-825x620

Eminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya Album

sadockDecember 11, 2017
WAKADR

Waka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa YouTube

sadockDecember 11, 2017