Entertainment

Wizkid na Tiwa Savage kutumbuiza jukwaa moja na Jay Z, J Cole na Mastaa wengine wakubwa duniani

Wizkid na Tiwa Savage kutumbuiza jukwaa moja na Jay Z, J Cole na Mastaa wengine wakubwa duniani
Profile photo of sadock

Tamasha kubwa la ‘Made In America’ linalosimamiwa na Boss wa Roc Nation, Jay Z limaetoa orodha ya wasanii watakaoshambulia jukwaa lake, September 2-3 huko Philadelphia.

Mastaa wa Afrika, Wizkid, Tiwa Savage na Maleek Berry wametajwa kwenye orodha ya performer wa tamasha hilo kubwa mabalo huwa linafanyika kila mwaka.

Mbali ya Jay Z na J cole, Wasanii wengine wakubwa watakaotumbuiza ni pamoja na The Chainsmokers, Migos, Solange, 21 Savage, DMX, Pusha-T, Dj Mustad na wengine wengi.

 

Comments

comments

More in Entertainment

barnaba

New Video: Barnaba – Mapenzi Jeneza (Official Music Video)

sadockSeptember 20, 2017
future-wizkid-world-tour (1)

New Music: Wizkid f/ Future – Everytime

sadockSeptember 20, 2017
18_ba_ANP-53285975

Uliikosa orodha ya washindi wa tuzo za Emmys 2017, Hii hapa yote

sadockSeptember 20, 2017
atengeneze

Diamond akiri mtoto wa Hamisa ni wa kwake, aomba msamaha

sadockSeptember 19, 2017