TEAM TZ

Photos

Loading…
  • Add Photos
  • View All

Music

Loading…

Advertisement

 

Members

Advertisement

Blog Posts

NEW JOINT: G-LUCKY - JIBEBISHE

Posted by Teen Newz on October 31, 2014 at 7:52pm 0 Comments

FRENCH MONTANA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA "MAC AND CHEESE " TAREHE 16 DECEMBER

Posted by Teen Newz on October 31, 2014 at 5:46pm 0 Comments

     Rapper  French montana ametangaza rasmi kuwa Album yake mpya "Mac And Cheese" itatoka tarehe 16 December, Kwenye Album hiyo zitasikika sauti za wakali wengine kama Kanye West, Rick Ross, Macklemore, Miguel na Lil Durk

Tazama hpa Interview yake…

LIL WAYNE ATANGAZA KUWA "THE CARTER V" ITATOKA KAMA ALBUM 2 NA NUSU YA KWANZA ITATOKA DECEMBER 9

Posted by Teen Newz on October 31, 2014 at 5:00pm 0 Comments

Baada ya Mack Maine kutangaza kuwa Tha Carter V itacheleweshwa siku moja kabla ya siku iliyopangwa kutoka, Wayne mwenyewe ameachia video ikimuonyesha yeye akitangaza kuwa album yake itagawanywa mara mbili na ya kwanza kutoka December 9.

“Honestly, I been working…

DIAMOND KUONEKANA KWENYE MSIMU WA PILI WA "IN MY SHOES"

Posted by Teen Newz on October 31, 2014 at 5:00pm 0 Comments

          Wema Sepetu amefunguka kuwa msimu wa pili wa reality show yake "In my shoes" utaanza week ijayo na Mpenzi wake Diamond ataonekana.…

MWENYEKITI MTENDAJI WA KAMPUNI YA "APPLE" AMETANGAZA KUWA NI SHOGA.

Posted by Teen Newz on October 31, 2014 at 2:30pm 0 Comments

    Mwenyekiti mtendaji wa kampuni kubwa ya "Apple' Tim cook ametangaza kuwa anajihusisha na Mapenzi ya jinsia moja, Tim cook alifunguka hayo ili kuwasaidia watu wanaong'ang'ana kutangaza jinsia zao katika ripoti iliochapishwa katika gazeti la biashara la kila wiki la…

Wanne wafariki katika ajali ya ndege, watano majeruhi

Posted by Teen Newz on October 31, 2014 at 1:23pm 0 Comments

Ajali ndege

Watu wanne wamefariki katika ajali ya ndege iliyotokea saa chache zilizopita baada ya ndege ndogo kugonga jengo la uwanja wa ndege na kuwaka moto.

Ndege hiyo iligonga jengo la uwanja wa Wichita, Kansas Marekani na kusababisha vifo vya watu wawili waliokuwemo ndani kufariki ikiwemo rubani wa ndege, na watu wengine waliofariki…

Mke aamua kumlisha mumewe mipira ya kiume (Condom) ili kumfunza adabu

Posted by Teen Newz on October 31, 2014 at 1:19pm 0 Comments

 

hotpo

Ama kweli duniani kuna mengi,hii imetokea huko nchini Uganda baada ya mwanamke mmoja mwenye watoto watatu katika Wilaya ya Kole nchini kumwandalia mumewe mlo wa mipira ya kiume ya kondomu kufuatia ugomvi usiokwisha baina yao.

Maamuzi ya mwanamama huyu  yanaweza kukushangaza sana kwani pamoja na familia za wanandoa wengi kuwa na kawaida ya kutofautiana wakati mwingine ni nadra…

Taarifa nyingine kuhusiana na kuanguka kwa kanisa la T.B Joshua

Posted by Teen Newz on October 31, 2014 at 1:15pm 0 Comments

Synagogue-Collapse-BellaNaija1

Serikali ya jimbo la Lagos Nigeria, imesema sehemu ya jengo lililoaanguka katika kanisa la

Synagogue Church of All Nations, ambalo lilijengwa kwa ajili ya kufikia wageni lilijengwa bila kibali cha Serikali.

Kamishna anayesimamia mipango miji Lagos, Olutoyin Ayinde…

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA YAENDELEA NA UKAGUZI KATIKA MIGODI

Posted by Teen Newz on October 30, 2014 at 12:31pm 0 Comments

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu (wa pili kutoka kulia) akitoa ufafanuzi wa kisheria mbele ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira. Kamati hiyo iko katika ziara ya kikazi kukagua utekelezaji wa Sheria ya Mazingira katika Migodi. Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Kamati…

Advertisement...

 
 
 

© 2014   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service