Entertainment

Alikiba ajibu diss ya Diamond ‘Malkia wangu wa nguvu umeshanitandikia kitanda?

Alikiba ajibu diss ya Diamond ‘Malkia wangu wa nguvu umeshanitandikia kitanda?
Profile photo of sadock

Baada ya verse ya Diamomd Platnumz kusikika katika remix ya ngoma ya Fid Q ‘Fresh’, kumekuwa na tweets kutoka kwa Alikiba ambazo bado hazijaeleweka iwapo zinajibu kile alichoimba Diamond katika ngoma hiyo.

Katika ngoma hiyo ya rapper huyo mkongwe kuna mIstari Diamond anasema, “Viuno vidogo wanataka pensi ya Pepe Kalle, siwalitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalale”.

Sasa muda mfupi uliyopita Alikiba kupitia mtandao wa twitter ameandika ujumbe ambao bado ni mapema kusema iwapo amemjibu Diamond.

“The KING ll always Be a KING. je Umeshakitandika nilale MALKIA wangu wa nguvu ?? #KingKiba,”
malkia2

Pia alikiba amejibu kuwa anajua anamchukia lakini  yeye hajali.

malkia1

 

Comments

comments

Entertainment

More in Entertainment

barnaba

New Video: Barnaba – Mapenzi Jeneza (Official Music Video)

sadockSeptember 20, 2017
future-wizkid-world-tour (1)

New Music: Wizkid f/ Future – Everytime

sadockSeptember 20, 2017
18_ba_ANP-53285975

Uliikosa orodha ya washindi wa tuzo za Emmys 2017, Hii hapa yote

sadockSeptember 20, 2017
atengeneze

Diamond akiri mtoto wa Hamisa ni wa kwake, aomba msamaha

sadockSeptember 19, 2017